Imetumwa: January 12th, 2023
Mhe. Simon Simalenga, Mkuu wa Wilaya ya Songwe amewaongoza mamia ya wananchi na wanafunzi kupanda miti eneo la kuzunguka Shule ya Sekondari ya Namaraji iliyopo Kata ya Totowe ikiwa ni sehemu ya ...
Imetumwa: January 12th, 2023
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe amewasihi wakulima wa kilimo cha ufuta Wilayani Songwe wajiunge na vyama vya ushirika ambavyo vitawasaidia kuwa na kilimo chenye tija na manufaa kwao na H...
Imetumwa: January 3rd, 2023
Mbunge wa Jimbo la Songwe Mhe. Philipo Augustino Mulugo amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini.
...