Shule ya Sekondari Saza kata ya Saza iko hatua ya kupiga bati kufuatia zoezi la kupandisha kechi kumalizika salama katika ujenzi wa vyumba vya madarasa vitatu, Leo Novemba 26, 2021.