Halmashauri ya Wilaya ya Songwe imepokea kiasi cha shilingi bilioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi wa Vyumba vya Madarasa 75 katika mchanganuo ufuatao:
i) Vyumba vya Madarasa 40 katika shule shikizi sawa na shilingi milioni 800,000,000.
ii) Vyumba vya Madarasa 35 katika shule za sekondari sawa na shilingi milioni 700,000,000.
Mkwajuni-Kimborokoto - Saza Road
Anuani ya Posta: P.o.Box 77 Mkwajuni Songwe
Mawasiliano: +255 (025) 2520301
Simu: +255 (025) 2520301
Barua Pepe: ded@songwedc.go.tz
Copyright ©2020 Songwe District Council . All rights reserved.