Jinsi ya kupata Salary Slip kwa njia ya Kieletroniki
Kupata hati yako ya mshahara kwa kutumia mfumo wa kieletroniki wa "Government Salary Slip Portal" ambapo utajisajili kwenye mfumo.
-Kwenye Mfumo huu vitu vya kuzingatia ni:
*Check namba ya mtumishi
*Majina kamili kama yalivyo kwenye mfumo wa Rasilimali Watu yaani HCMIS maarufu kama Lawson.
*Tarehe ya kuzaliwa.
Vote Code, Sub Vote Code, Namba ya Akaunti ya Benki unayopitishia mshahara.
Fahamu pia Salary Scale, Salary Grade na Salary Step.
Barua pepe (Email) inayofanya kazi.
Ili kujisajili Bofya https://salaryslip.mof.go.tz/Manage/EmployeeRegistration
Mkwajuni-Kimborokoto - Saza Road
Anuani ya Posta: P.o.Box 77 Mkwajuni Songwe
Mawasiliano: +255 (025) 2520301
Simu: +255 (025) 2520301
Barua Pepe: ded@songwedc.go.tz
Copyright ©2020 Songwe District Council . All rights reserved.