Jeshi la Polisi ikishirikiana na Government e-Payment Gateway (GePG) inakuwezesha kujaza barua ya upotevu *police loss report* kupitia mtandao bofya kiunganishi https://lormis.tpf.go.tz na kulipia kutumia simu yako kupitia GePG.
HATUA MUHIMU
1. Jaza hiyo form kupitia mtandao kwa kutoa maelezo ya upotevu.
2. Utapata Control Number 99XXXXXXXXXX
3. Lipa Tsh 500/= kwa njia ya mtandao
4. Nenda kituo chochote cha polisi kwa ajili ya uthibitisho
5. Print barua yako kwa wakati wako.
Mkwajuni-Kimborokoto - Saza Road
Anuani ya Posta: P.o.Box 77 Mkwajuni Songwe
Mawasiliano: +255 (025) 2520301
Simu: +255 (025) 2520301
Barua Pepe: ded@songwedc.go.tz
Copyright ©2020 Songwe District Council . All rights reserved.