Bofya Hapa Kusoma Tangazo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe anawatangazia wale waliopata viwanja Saza na Kaloleni kumalizia malipo ya viwanja husika kabla ya Disemba 31, 2022.
LIPIA KUPITIA AKAUNTI YA NMB NAMBA 62510009582 SDC MISCELLANEOUS DEPOSIT.
KUMBUKA KUANDIKA JINA LA MLIPAJI.
MALIPO YA HATI YATAFANYIKA KWA CONTROL NAMBA BAADA YA KUMALIZA UNUNUZI WA KIWANJA
SABABU YA MALIPO NI UNUNUZI WA KIWANJA
KWA MAWASILIANO PIGA NO.0764555555/0768539454/0762944493
Mkwajuni-Kimborokoto - Saza Road
Anuani ya Posta: P.o.Box 77 Mkwajuni Songwe
Mawasiliano: +255 (025) 2520301
Simu: +255 (025) 2520301
Barua Pepe: ded@songwedc.go.tz
Copyright ©2020 Songwe District Council . All rights reserved.